Msanii wa bongo fleva mkali wa kurap kwa lugha asili ya Tanzania, Batarokota Nsumbantale, amesema kwa sasa yupo katika maandalizi ya mwisho kuelekea uzinduzi wa songi ‘total balaa’ utakaofanyika Octoba 3, jijini Nairobi nchini Kenya.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Batarokota alisema amelazimika kufanya hivyo akitambua kiu ya wadau,
wapenzi na mashaki wake kutaka kuona vitu vya tofauti siku hiyo katika Ukumbi Brookrine uliopo Gethorai 44 ,
Nairobi nchini Kenya.
Alisema kwa mazoezi anayofanya, anaamini moto ambao atauwasha siku hiyo, utakuwa kama salamu kwa
wapenzi na mashabiki wake.Msanii Batarokota ambae mwaka huu wimbo wake wa kwejanga Nyangisha uliingia
katika tuzo za Kilimanjari Tanzania Music Awards 2014 katika kategori ya `Wimbo bora wenye vionji vya asili
ya kitanzania` na akuweka kufanikiwa
kupata Tuzo. Msanii Batarokota hii ni ziara yake ya pili mwaka 2020 kufanya show Nairobi nchini Kenya.
pia waweza kupata nyimbo wa msanii Batarokota kupitia tovuti ya
Mkito.com https://mkito.com/song/kwajaga-nyangisha/550

No comments:
Post a Comment