Breaking News

May 3, 2021

UJUMBE WA BALOZI WA SWEDEN TANZANIA KWA UMOJA WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI KWA MIKOA YOTE TANZANIA 3,MEI 2021

 

MOROGORO PRESS CLUB KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA HABARI 2021 ILIRATIBU KONGAMANO LA WADAU WA HABARI LILILOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI MOROGORO,MSJ.MGENI RASMI ALIKUWA MKUU WA WILAYA YA MOROGORO,BAKAR MSULWA.

KATIKA KONGAMANO HILO,KATIBU MTENDAJI WA MOROGORO PRESS CLUB NA MJUMBE WA BODI YA UTPC,BI.LILIAN LUCAS ALISOMA UJUMBE WA BALOZI WA SWEDENI,TANZAANI,MH.ANDRES SJOBERG.

KONGAMANO HILO LILIHUDHURIWA NA WATU 369 KUTOKA WANACHAMA WA MOROGORO PRESS CLUB,WANAFUNZI WA UANDISHI WA HABARI KATIKA NGAZI YA CHETI,DIPLOMA NA DIGREE KUTOKA CHUO KIKUU CHA WAISLAM(MUM) NA CHUO CHA WAANDISHI WA HABARI CHA MOROGORO(MSJ).

VIONGOZI KUTOKA TAASISI ZA DINI NA SERIKALINI IKIWEMO TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA (TAKUKURU)

No comments:

Post a Comment